MZEE KINGUNGE AKUTANA USO KWA USO NA WAZIRI MKUU. - Rhevan Media

MZEE KINGUNGE AKUTANA USO KWA USO NA WAZIRI MKUU.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa mkongwe,Kingunge Ngombale- Mwiru  wakati alipokwenda kwa Freeman Mbowe kumpa pole  kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Mbowe, nyumbani kwa marehemu,Tegeta jana
Previous
Next Post »