MKUU WA WILAYA IRINGA ARUDI UWANJANI RASMI. - Rhevan Media

MKUU WA WILAYA IRINGA ARUDI UWANJANI RASMI.




KA1
Mkuu wa wilaya Iringa Bwana Richard Kasesela, baada ya kazi jana alijiunga na wana chuo cha RUCU kucheza mpira wa kikapu. Mchezo ambao alikuwa akicheza enzio hizo. Mkuu huyo wa wilaya aliahidi kuukuza mchezo huo mkoani Iringa.
KA2 KA3

Previous
Next Post »