MCHEZAJI CHRISTASTIAN RONALDO AWATAFUNA WAREMBO MATATA. - Rhevan Media

MCHEZAJI CHRISTASTIAN RONALDO AWATAFUNA WAREMBO MATATA.


Licha ya kuwa na majukumu mengi ya kuitumikia moja ya klabu kubwa duniani lakini Cristiano Ronaldo bado yuko vizuri kukimbizana warembo wakali.

Star huyo wa Madrid amekuwa na mahusiano na vimwana wenye majina makubwa kwa miaka kadhaa lakini safari hii anahusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na model wa kituruki anayefahamika kwa jina la Cansu Taskin.



Taskin anajina kubwa kwenye tasnia ya modeling na hivi karibuni alihojiwa kwenye television ya Uturuki ambapo alikiri mwenyewe kwamba anawasiliana mara kwa mara na nyota huyo mwenye miaka 31 sasa.

Ronaldo alikuwa kwenye mahusiano na model ambaye ni muigizaji pia wa Russia Irina Shayk, inataarifiwa kwamba amekuwa akiwasiliana muda mwingi na mpenzi wake mpya kupitia mitandao ya kijamii.


Previous
Next Post »