MATOKEO YA CHAMPIONS LEAGUE. - Rhevan Media

MATOKEO YA CHAMPIONS LEAGUE.



Matokeo ya Champions League: Real Madrid wameshinda 3-0 vs Wolfsburg na kufanikiwa kufuzu kwenda nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2. Cristiano Ronaldo akifunga magoli yote. Kwa upande mwingine Man City imejiwekea historia baada ya kufanikiwa kufuzu kucheza nusu fainali ya michuano hiyo kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake. Goli la Kevin De Bruyne limeiwezesha City kushinda 1-0 vs PSG.
Previous
Next Post »