MAMA SAMIA SULUHU AKUTANA NA BALOZI WA IRAN. - Rhevan Media

MAMA SAMIA SULUHU AKUTANA NA BALOZI WA IRAN.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe. Mehd Aghajafari wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April 11,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia suala la kukuza Ushirikiano kati ya Nchi mbili hizi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Cheti maalum kutoka kwa Muwakilishi wa Jumuiya ya Watu wenye ulemavu Nchini Bibi Stela Jailos kwa ajili ya kutambua mchango mkubwa wa Serikali ya awamu ya 5 kwa Watu wenye Ulemavu.(Picha na OMR)

Previous
Next Post »