MAALIM SEIF KUSUSIA UCHAGUZI KWA MPONZA. - Rhevan Media

MAALIM SEIF KUSUSIA UCHAGUZI KWA MPONZA.



Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF na aliyekuwa mgombea wa Urais kwenye uchaguzi wa Zanzibar, Maalim Seif amepunguziwa ulinzi wa usindikizi na sasa amebaki na gari moja.

Maalim Seif alikuwa makamu wa kwanza wa Rais katika awamu iliyopita kabla ya kushiriki uchaguzi wa Zanzibar uliovurugika Oktoba na kususia uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi Machi.
Previous
Next Post »