LIVERPOOL YATINGA NUSU FAINALI. - Rhevan Media

LIVERPOOL YATINGA NUSU FAINALI.

Image captionLiverpool yatinga nusu fainali baada ya ya kushinda 4-3 dhidi ya Borrussia Dortmund
Hatua ya Robo fainali ya michuano ya Europa imeendelea tena Alhamisi kwa michezo minne , ambapo Liverpool imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kufuatia ushindi wa mabao 4 -3 dhidi ya Borrussia Dortmund.
Magoli ya Liverpool yamefungwa na wachezaji Divock Origi, Philippe Coutinho , Mamadou Sakho na Dejan Lovren dk 90 .
Na magoli ya Dortmund yamefungwa na Henrikh Mkhitaryan , Pierre-Emerick Aubameyang na Marco Reus .
Sevilla imeiondoa Athletic Club kwa changamoto ya penalti 5-4 kufuatia sare ya jumla ya 3-3 baada ya kila timu kushinda 2-1 mechi ya nyumbani.
Villarreal imeifunga Sparta Praga bao 4- 2 na Shakt Donsk imeira rua Sporting Braga kwa mabao 4-0.
Kwa matokeo hayo Liverpool inaungana na Timu za Athletic Bilbao, Shakt Donsk, Villarreal katika hatua ya nusu fainali.
Previous
Next Post »