KUTOKA KWA WAZIRI MWIGULU NCHEMBA. - Rhevan Media

KUTOKA KWA WAZIRI MWIGULU NCHEMBA.


Asubuhi ya leo nimefanya ziara kwenye soko la samaki la Kirumba-Mwanza.Mbali na maagizo mengine,nimewaagiza jiji na halmashauri ya wilaya ya Ilemela kuhakikisha miundombinu ya soko inaboreshwa haraka iwezekanavyo.Pia vyombo vya dola vianze kazi yake mara moja ya kubaini walihusika na upotevu wa mashine za kuendesha mfumo wa maji wa soko.
Previous
Next Post »