KIGOGO WA SERIKALI AJIACHIA HADHARANI NA MPIRA WA KIKAPU. - Rhevan Media

KIGOGO WA SERIKALI AJIACHIA HADHARANI NA MPIRA WA KIKAPU.




Mkuu wa wilaya Iringa , baada ya kazi jana alijiunga na wana chuo cha RUCU kucheza mpira wa kikapu
Mchezo ambao alikuwa akicheza enzio hizo. Mkuu huyo wa wilaya aliahidi kuukuza mchezo huo mkoani Iringa.



Previous
Next Post »