KAMANDA MKUU WA KIKOSI CHA ULINZI APATIKANA NA HATIA. - Rhevan Media

KAMANDA MKUU WA KIKOSI CHA ULINZI APATIKANA NA HATIA.


RWANDA: Aliyekuwa kamanda mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais Kagame, Tom Byabagamba amehukumiwa kifungo cha miaka 21 jela, amepatikana na hatia ya kuharibu sifa ya nchi na kuhamasisha wananchi kupinga utawala. Amepinga hukumu hiyo na kusema mashtaka yake yalichochewa kisiasa.


Previous
Next Post »