KAMA WEWE NI MTUMIAJI WA RELI YA KATI HII TAARIFA INAKUHUSU . - Rhevan Media

KAMA WEWE NI MTUMIAJI WA RELI YA KATI HII TAARIFA INAKUHUSU .


treni
Huduma ya treni ya abiria kutoka Dar es salaam kwenda Bara ilisimama kwa muda kadhaa kutokana eneo korofi baina ya stesheni za kilosa mkoani Morogoro na Gulwe Mkoani Dodoma. April 28 2016 taarifa imetolewa kwamba eneo hilo korofi limetengemaa hivyo Huduma ya usafiri wa treni ya abiria kutoka Dar es salaam kwenda mikoa mingine kwa kutumia reli […]
Previous
Next Post »