HII NDIYO TANZANIA IJAYO. - Rhevan Media

HII NDIYO TANZANIA IJAYO.



Ifikapo mwaka 2018, Tanzania inategemea kuanza kuuza umeme wa Megawatt 2,000 kwa Kenya. Mradi huo unagharimu shilingi Bilioni 600. Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Previous
Next Post »