Mtangazaji wa kipindi cha uhondo Adam Melele a.k.a Swebe Santana wa Efm redio akimkaribisha Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro ili atowe zawadi kwa washindi wa tatu na wa pili kwenye viwanja vya jica Shule Ilala jijini Dar es Salaam.
.Meneja wa Mauzo wa Star Times, Juma Mchina Sharobaro akiwa na washiriki wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.
Meneja Masoko wa Vodacom Materi Mushi akiwakatika picha ya pamoja na washiriki wa shindano hilo mara baada ya kuwapatia zawadi, jijini Dar es Salaam.
Watu wa huduma ya kwanza wakiwahudumia washiriki wa Shindano hilo.
Sign up here with your email
