CHADEMA WAJA KIVINGINE MOTO WAONGEZEKA. - Rhevan Media

CHADEMA WAJA KIVINGINE MOTO WAONGEZEKA.




1) Kupunguza uanaharakati kujipanga kuongoza
2) Uongozi ngazi za vijiji wapewa meno kuamua
3) Makao makuu wabaki na sera na mbinu mpya kupata viongozi
4) Halmashauri zao kuwa mfano wa kuigwa
5) Wataka kodi za majengo zibaki kwenye kata.
Previous
Next Post »