Akizungumza jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha,Charles Mkumbo, alisema ulimaji wa mirungi na bangi Mkoa wa Arusha ni sugu, lakini hawawezi kuacha likaendelea.
Alisema maeneo ya Kisimiri Juu, wilayani Arumeru ni eneo lamiaka zaidi ya 15, maarufu kwa kilimo cha mazao hayo hatari.
“Lakini sasa lazima tufike mahali tuhakikishe zoezi hili linakuwaendelevu na lazima tutokomeze kabisa ulimaji wa mazao hayayanayochangia kuharibu afya za vijana wetu,” alisema.
Alisema katika operesheni hiyo waandishi wa habari watashirikishwa.
Sign up here with your email