BALOTELI AJUTIA KUCHAGUA KUICHEZEA TIMU YA TAIFA YA ITALIA - Rhevan Media

BALOTELI AJUTIA KUCHAGUA KUICHEZEA TIMU YA TAIFA YA ITALIA


Thomas Barwuah, mwenye asili ya Ghana aliye muleya  Mario Balotelli alipokuwa mtoto, 
mshambuliaji wa AC Milan amebaini kuwa Balotelli anajutia uamuzi wake wa kutochagua Ghana ambayo ni nch  yake.
 Balotelli amekataa kuichezea  Ghana baada  FA kujaribu Kumshawishi  kwa Kuwakilisha nchi za Afrika Magharibi mwaka 2011.

Kwasasa amesikika nakusema adharani kuwa anakerwa sana na matumizi mabaya ya kibaguzi na vyombo vya habari kuzidi kutangaza mabaya uku mazuri yake wakiificha.
Baba yake mzazi pia aliongeza kuwa mwanawe hajakubalika tangu mwanzo katika timu ya taifa Italia a hawahi kupata kile ambacho wengine wachezaji wanastahili kupewa katika timu hio ya Italia.
 

Balotelli akiwa na wazazi  wake wa walezi

"Yeye [Balotelli] ameanza kutambua kuwa amefanya makosa ya kuchagua kuichezea timu ya taifa Italia na pia ameanza kuwatangazia  rafiki zake kuhusu hilo''Barwuah aliiambia GazzettaGhana .

"sio kusema hatunzwi vizuri, bali  hawamuoneshi upendo unayo stahili kwa kipaji chake kubwa na ujuzi, anacho kipata kwasasa ni unyanyasaji hasa kutoka vyombo vya habari  na kwamba ni kwa sababu yeye ni nweusi".

"Wao si kama Balotelli na ilianza tangu mwanzo, hawakutaka kuona mvulana mweusi kama Baloteli  kuchukua utukufu mu timu ya taifakwa Italia, ndio sababu yakumnyanyasa."

 

Balotelli akisaini kubadili uraia

Balotelli mwenye umri wa miaka 25 ambaye alipata  uraia na anaendelea kucheza katika klabu AC Milan ya Italia , kuna uwezekano wa kumkosa Mshambuliaji Balotelli kwenye kombe la Euro 2016 kutokana na fomu yake na pia kuusikana na vyombo vya habari kuzidi kupaka tope kila kukicha. 

Hii itakuwa fundisho kwa wachezaji wote wenye asili ya Afrika kukataa kuichezea nchi zao na mwishowe kupata matatizo kama inayo mkuta Balotelli.
Previous
Next Post »