Shirika la ndege la RwandAir linapenda kuwatangazia wasafiri wake wanaoelekea nchini Rwanda kuwa hawatahitajika kuwa na chanjo ya vitabu vya njano (Yellow Fever) pindi waelekeapo nchini humo.
Meneja mkazi Shirika la ndege la RwandAir nchini Tanzania, Ibrahim Bukenya amesema chanjo ya Yellow Fever itahitajika kwa wasafiri wanaotoka kwenye nchi zilizo na tatizo la Yellow Fever pekee kuelekea nchini Rwanda.
Ameendelea kuwashukuru wateje na wasafiri wote wa RwandAir na kuwaomba kusafiri nao tena.
Sign up here with your email