Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akikagua neti ya mmoja wa mama aliyejifungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akifurahi kumuona mmoja wa watoto aliyezaliwa katika wodi ya wazazi
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula mara baada ya kufanya mazungumzo na watumishi wa hospitali hiyo.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza na mmoja wa wazee aliyefika kupata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula mara baada kuwasili hospitalini hapo kuzungumza na wafanyakazi.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza na baadhi ya wananchi waliokusanyika nje ya hospitali kufuatia tukio la mwananchi kumpiga daktari.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akifurahi jambo na mmoja wa kina mama alipotembelea wodi ya wazazi :katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula.
Sign up here with your email