Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari mda mfupi uliopita katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya Fedha jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwezi Machi mwaka.mwaka huu, ambapo Mapato ya Kodi (TRA) shilingi 1,283,274,000,000. Mapato yasiyo ya kodi ni shilingi 77,504,000,000. Mapato yatokanayo.na vyanzo vya halmashauri ni shilingi 43,490,000,000 Jumla ikiwa ni 1,404,268,000,000.Pia amesema kuwa Serikali inatarajia kupata mikopo na misaada ya mifuko ya Basket na Miradi ya maendeleo kutoka kwa washirika wa maendeleo shilingi 71,200,000,000
Sign up here with your email