WAUGUZI SITA WATUMBULIWA MAJIPU. - Rhevan Media

WAUGUZI SITA WATUMBULIWA MAJIPU.



Ndugu wa mgonjwa akitoa maelezo yake kwa kina (aliyenyoosha vidole juu) ambapo hata hivyo wauguzi waliofanya kitendo hicho hawakuwa tayari 'kutumbuliwa majipuu'ndipo Naibu Waziri wa Afya alipoamua kuchukua hatua kwa wauguzi wote sita ambao walikuwapo zamu ambao pia walimshughulikia mama mjamzito huyo, wasimamishwe kazi mara moja
Previous
Next Post »