Watu watatu ambao ni wachimbaji Wa madini katika mgodi Wa madini ya tanzanite eneo la mji Mdogo Wa mirerani wilayani simanjiro Mkoani manyara wanatajwa kufukiwa ndani ya mgodi JW BLOCK C. Kwa mujibu Wa taarifa kutoka katika eneo la tukio ni kwamba wachimbaji hao walizama ndani ya mgodi tangu siku ya jumatatu iliyopita kupitia mashimo yasiyo rasmi na sasa jitihada zinaendelea kuwatafuta.
Sign up here with your email