WANANCHI WAONESHA MAPENZI YA DHATI KWA MBUNGE WAO. - Rhevan Media

WANANCHI WAONESHA MAPENZI YA DHATI KWA MBUNGE WAO.


Wananchi wa Mwanza wakiwa wamefika Mahakamani kufuatilia kesi ya ubunge ya Ezekiel Wenje leo.Ambapo walitawanywa kwa mabomu mchana wa leo mwenyekiti wa chama mh Mbowe na katibu mkuu mteule Dr Vicent walikuwepo mahakamani hapo.
Previous
Next Post »