WANANCHI WA MTWARA WASIMAMISHA MSAFARA KISA GESI HAWANUFAIKI. - Rhevan Media

WANANCHI WA MTWARA WASIMAMISHA MSAFARA KISA GESI HAWANUFAIKI.


Wakazi wa Kijiji cha Msimbati Mkoanin Mtwara wamesimamisha Msafara wa kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishat na Madini kutokana na Kuwepo kwa chngamoto Mbali mbali za kimaeneleo kama Ukosefu wa Miundombinu ya Barabra ,Ku katika kwa Umeme Mara kwa Mara pamoja na kukosa kwa Ajiraka katika visima vya gas ingawa visima hivyo vipo kijijini Hapo. Pichani Naibu Waziri wa Nishat na Madini Dr.Medard Kaleman akitoa ufafanuji juu ya kunufaika na miradi ya Gas kijijini hapo.


BONYEZA KITUFE CHA HOME KUTAZAMA BLOGU HII.
Previous
Next Post »