Makonda, Mtaka, Shigela, Dendego, Rugimbana, Makalla kizazi chetu ambacho wamepata/wameendelea kuwa ma RC. Hongereni vijana wenzangu. Ni dhahiri wajibu wa uongozi sasa ni wetu, ni wa kizazi chetu. Msituangushe maana mkianguka ninyi ni kizazi kimeanguka. Mola atawalinda
Sign up here with your email