TRA WAIBUKA MLIMANI CITY NAKUFUNGA UKUMBI WA CINEMA. - Rhevan Media

TRA WAIBUKA MLIMANI CITY NAKUFUNGA UKUMBI WA CINEMA.

IMG_20160330_195433.jpg
Century Cinemax yafungiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania. Indaiwa ni kwa kutolipa kodi. Huu ni muendelezo wa kufungia kumbi za starehe ambazo zinakwepa kulipa kodi.
Previous
Next Post »