Spika wa Bunge Job Ndugai akiongea na viongozi wa Chama cha Mabenki Tanzania walipomtembelea Leo Ofisini Kwake Dar
Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akiongea na viongozi wa Chama cha Mabenki Tanzania walipomtembelea Spika Leo
Mmoja wa wajumbe wa Chama cha Mabenki Neech Msuya(kushoto) akifafanua jambo mbele ya Spika Bunge Job Ndugai (hayupo pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Sign up here with your email