RAIS MAGUFULI AMWAGA NGELI YA HATARI MAPEMA LEO. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI AMWAGA NGELI YA HATARI MAPEMA LEO.





Leo katika mkutano wa 17 wa EAC Raisi Magufuli akiwa mwenyekiti wa mkutano huo kazungumza kingereza fasaha kabisa kwa ujasili na ubora wake ule ule kama akiwa anazungumza lugha adhimu ya Kiswahili. Pia haikuishia hapo Rais Magufuli akawadhihirishia wana EAC kuwa yeye ni bora katika lugha kwa kuzungumza lugha zote za EAC kuanzia KIGANDA, KINYARUANDA, KURUNDI, KIJALUO, na kushangiliwa kwa makofi makubwa na wajumbe wa mkutano huo kwa uwezo wake huo wa kuzungumza lugha mbalimbali kwa ubora ikiwemo pia KINGEREZA NA KISWAHILI kwa ubora wa hali ya juu.
Previous
Next Post »