
Rais Magufuli achaguliwa na Marais wote wa Afrika Mashariki kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka mmoja zaidi.
- Jamhuri ya Watu wa Sudani Kusini yajiunga rasmi kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.
- Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa JMT, Benjamin William Mkapa, achaguliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa Burundi chini ya Uongozi wa Rais Yoweri Museveni.
Sign up here with your email
