RAIS MAGUFULI AKIWA KANISANI LEO IJUMAA KUU. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI AKIWA KANISANI LEO IJUMAA KUU.




Rais Dkt. akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro iliyohudhuriwa pia na Rais na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa leo



Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu



Sehemu ya waumini katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar leo
Previous
Next Post »