NAFASI YA TANZANIA AFCON 2017. - Rhevan Media

NAFASI YA TANZANIA AFCON 2017.




Tuna Mechi 2 za nyumbani AFCON2017‬ tarehe 30.3.2016 dhidi ya Chad na tarehe 3.6.2016 dhidi ya Misri. Tunamaliza mechi zetu nje dhidi ya Nigeria Septemba 2, 2016. Tukienda vizuri tunakwenda Nigeria tukiwa na points 10. Tupambane kuanzia Jumatatu dhidi ya Chad




Previous
Next Post »