
Mwanamasumbwi Manny Pacquiao alitoa maoni yake juu ya ndoa za jinsia moja (Ushoga na Usagaji). Akasema hawezi kuzuia watu kufanya lakini yeye binafsi HAUNGI MKONO vitendo hivyo. Hali hii ikapelekea makampuni mengi kusitisha nae mikataba ya kibiashara. Kampuni ya NIKE imevunja nae mkataba wa mamilioni ya Dola. Lakini bado anasimamia msimamo wake. Anasema haishi kwa sababu ya NIKE bali anaishi kwa sababu ya Kristo.!
Sign up here with your email