Ndugu watanzania wenzangu naomba tumuombeeni dada yetu anaetuwakilisha huko nchi za njee katika kazi ya Modelling Happiness Millen Magese apone haraka ili aendelee kutupeperushia bendera yetu ya taifa vizuri. Ameanguka leo huko south wakati akiwa anafanya kazi yake ya kutuwakilisha. Basi kila mtu na imani yake tafadhali tumuombeeni mwenyezi Mungu ampiganie apone haraka na aendelee kutuwakilisha vyema
Sign up here with your email