Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimuombea dua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipomtembelea kiongozi huyo wa dini leo. Makonda ameanza ziara ya kuwatembelea viongozi wa dini na wastaafu jijini ili kupata ushauri mbalimbali.
Sign up here with your email