MH PAUL MAKONDA AWATEMBELEA VIONGOZI WA DINI. - Rhevan Media

MH PAUL MAKONDA AWATEMBELEA VIONGOZI WA DINI.





Paul Makonda alipomtembelea kiongozi huyo wa dini jana. Makonda ameanza ziara ya kuwatembelea viongozi wa dini na wastaafu jijini ili kupata ushauri mbalimbali leo anatarajia kukutana na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum.

Previous
Next Post »