
January Makamba akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mpunda baada ya kumalizika kwa Mkutano huo ambapo aliwashukuru kwa kumchagua kuwa Mbunge wao kwa kura nyingi,ane amewahidi kuwaletea maendeleo katika jimbo hilo la Bumbuli


Wananchi wa Kijiji cha Mpunda Kata ya Usambara wakimuonesha Mbunge


akibadilishana namba za Simu na wananchi wa Jimbo lake ili kurahisisha Mawasiliano
Sign up here with your email