MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA SAA SABA USIKU. - Rhevan Media

MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA SAA SABA USIKU.




Ule muendelezo wa kukamata kamata wabunge wa Upinzani umeendelea usiku wa kuamkia Jumamosi kuelekea kwenye kikao cha Kamati kuu na Baadae Baraza kuu la CHADEMA baada ya Polisi wa Mwanza kumkamata Mbunge Ester Bulaya wa jimbo la Bunda mjini akiwa hotelini.
Previous
Next Post »