
Rais Dkt. Magufuli katikati akiwaongoza Marais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Rais wa Uganda Kaguta Museveni Na Makamu wa Rais wa Sudani Kusini pamoja na Burundi kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Voi Km 234.3 uliofanyika Tengeru nje kidogo ya jiji la Arusha Leo
Sign up here with your email
