MAMA JANET MAGUFULI ATOA MSAADA. - Rhevan Media

MAMA JANET MAGUFULI ATOA MSAADA.



Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasili uwanja wa ndege Jijini Mwanza kushiriki zoezi la utoaji wa msaada wa vifaa mbalimbali kwenye kituo cha kulea wazee na watu wasiojiweza  cha Bukumbi Mkoani Mwanza.
Previous
Next Post »