Waziri wanchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Mikoa leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akizungumza baada ya kukabidhi majina hewa kwa Waziri wa nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI, George Simbachawene leo jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadik akikabidhi majina hewa kwa kwa Waziri wa nchi Ofisi
ya Rais-TAMISEMI, George Simbachawene leo jijini Dar es Salaam.
Sign up here with your email