MAJAMBAZI WAWILI WAUWAWA JIJINI. - Rhevan Media

MAJAMBAZI WAWILI WAUWAWA JIJINI.


Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, SACP Justus Mamugisha, akitoa taarifa kwa wanahabari.
Watu wawili wameuawa Jijini Mwanza kwa kupigwa risasi na Majambazi, huku Wengine saba wakijeruhiwa katika tukio la uvamizi wa duka lililokuwa likitoa huduma mbalimbali za kifedha.

Previous
Next Post »