LULU MICHAEL AFURAHIA TUZO NA KIGOGO WAKE MPYA. - Rhevan Media

LULU MICHAEL AFURAHIA TUZO NA KIGOGO WAKE MPYA.


Francis Ciza maarufu kama Dj Majizo mmilikiwa kampuni ya Entertaiment company na redio ya Efm pamoja na club ya maisha basement akiwa na mpenzi wake Lulu MIchael.Sababu ya kuachiwa picha hii ni baada ya kuvuja sms akichati na msanii Ali Kiba kuwa watalala wote hotelini nchini Nigeria ambapo jana msanii huyo alishinda hiyo tuzo ya best actress wa movie ya mapenzi kumbe mchumba huyo alikuwepo eneo la tukio.
Previous
Next Post »