KULAWITI KWA MPONZA MAISHA JELA. - Rhevan Media

KULAWITI KWA MPONZA MAISHA JELA.



Mshtakiwa Evarist Biyunze (23) akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi, baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha jela jana. Kijana huyu amefungwa jela kutokana na kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba. 
Previous
Next Post »