Mohamed Chande Othman,Jaji Mkuu wa Tz akiweka sahihi kitabu cha wageni baada ya kuwasili Mahakama ya Wilaya Songea
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Katarina Revocati, akipitia jalada moja baada ya jingine kuona hali halisi ya utoaji haki kwa Wananchi katika Mahakama ya Mwanzo Kigonsera mkoani Songea.
Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (kushoto) na John S.Mgetta Jaji Mfawidhi Kanda ya Songea (kulia), wakisoma majalada ya kesi katika Mahakama ya Mwanzo Kigonsera mkoani Songea.
Sign up here with your email