Lowasa anawashukuru wanachadema na watanzania walivyo mpokea katika uchaguzi mkuu.''Tumefanya uchaguzi tumeshinda,wao wakafanya hila''#Lowasa ''Baada ya uchaguzi vijana walitaka nitoe kauli,kama ningewakubalia vijana wale waende Ikulu nchi hii leo isinge kalika.''Tangu nimekuja Chadema kuna kitu nimejifunza kutoka kwa mwenyekiti Mbowe na moyo wa kujitolea nimeona wakati wa kampeni''#Lowasa ''Kuna watu wanapotosha kuwa nimemuonga mwenyekiti Mbowe hizi taarifa za uwongo,Kama nimehonga pesa hizo nimetoa wapi?#Lowasa ''Nimefananishwa na Dangote tangu nije Chadema wanasema mimi Dangote mdogo,na mimi nashukuru kwani wana niombea niwe na fedha nyingi''.
Sign up here with your email