
Naibu Waziri wa AfyaDkt. HKigwangalla akisalimiana na wageni mbalimbali waliojumuika katika tukio la ufunguzi rasmi wa jengo la shule ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya digrii katika Chuo Kikuu cha Agha Khan, Upanga jijini Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa Afya,Dkt Hkigwangalla akifurahia jambo na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Ujerumani Dk GerdMuller na wageni waliojumuika ktk tukio la ufunguzi wa jengo la shule ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya digrii Chuo Kikuu cha Aga Khan


Naibu Waziri wa Afya,Dkt.HKigwangalla akizungumza na vyombo vya habari namna Serikali itakavyonufaika na shule hiyo
Sign up here with your email