ZINEDINE ZIDANE KUIONGOZA REAL MADRID LEO. - Rhevan Media

ZINEDINE ZIDANE KUIONGOZA REAL MADRID LEO.


Masaa kadhaa yajayo - Zinedine Zidane ataiongoza klabu ya Real Madrid katika michuano ya klabu ya Bingwa ya ulaya katika mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya AS Roma. Cristiano Ronaldo na wenzie watampa ushindi wa kwanza Zidane katika Champions League au ataanza kwa matokeo mabaya? Kwa upande mwingine klabu ya Gent ya Belgium itaumana na Wolfsburg
Previous
Next Post »