WAZIRI MKUU KUWAITA VIONGOZI WOTE WA DINI. Unknown 13:49:00 Unknown Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ataitisha kikao cha viongozi wa dini zote hivi karibuni ili wapange na kuainisha ni mambo gani ambayo wanaweza kutoa ushauri kwa Serikali na kupata njia bora ya kuwahudumia Watanzania. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email