
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa ofisi ya Waziri Mkuu Wakati alipotoa maagizo ya Rais Dk. Magufuli kuhusu mawaziri ambao bado hawajajaza fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni wawe wamejaza Fomu hizo na kuzirejesha katika Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Dar es Salaam ifikapo leo saa 12.00 jioni

Sign up here with your email