
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema fedha za Bajeti ya Maendeleo ya Mahakama Sh12.3 bilioni zilizotolewa juzi kwa idara hiyo, zitawezesha kukamilisha ujenzi wa zaidi ya mahakama za mwanzo 80 za kisasa za mwanzo.
Sign up here with your email
