WAZIRI APONGEZA UCHAGUZI KUHAIRISHWA. - Rhevan Media

WAZIRI APONGEZA UCHAGUZI KUHAIRISHWA.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, imetumia busara kuahirisha uchaguzi wa Meya uliopangwa kufanyika leo.
Juzi halmashauri hiyo, iliahirisha uchaguzi huo, ikiwa ni mara ya pili baada ya kubaini nyongeza ya wajumbe 14 katika orodha iliyowasilishwa kwa wakurugenzi wa Manispaa za Kinondoni na Ilala.
Previous
Next Post »